Search Badges Account

Palikuwa na familia moja ya watoto watatu watiifu. Ilikuwa shida kwani walikuwa watoto wa nta kwa hivyo walifanya shughuli zote usiku kwa kuhofia kuyeyushwa na jua kali. Lakini mvulana mmoja anatamani sana kuiona dunia mchana na hivyo anatoka na kutembea nje. Bila shaka, anayeyushwa na joto jingi la jua. Nduguze wanavunjika mioyo lakini wanapanga jinsi ya kumsaidia ndugu yao.

Hi ni hadithi ya kuvutia kumhusu Wangari Maathai.

Hadithi hii inaelezea jinsi ambavyo upepo unavyotenda na athari zake kwetu.

Hadithi inaonyesha nguvu za upepo.

Vitendo vya kawaida.

Msimulizi wa hadithi kutoka Turkana anatufundisha kuhusu umuhimu na matumizi ya mtende.

Wanakijiji wanaungana kubadilisha maisha yao.

Mama hayuko nyumbani na Baba anatayarisha uji wa asubuhi.

Tunawauliza mama na baba sababu ya vitu kuwa na rangi tofauti.

Hadithi hii inatuonyesha sababu sungura anakimbia kwa kasi na jinsi alivyomdanganya rafikiye tembo.