Easy words, word repetition, less than 250 words
Simple concepts, up to 600 words.
Longer sentences, up to 1500 words.
Longer, more nuanced stories, more than 1500 words.
Tunawauliza mama na baba sababu ya vitu kuwa na rangi tofauti.
Nchi ni kavu mno na Siafu Mdogo anahisi kiu. Anapoenda mtoni kutafuta maji, anapelekwa na mawimbi. Njiwa anaokoa maisha ya Siafu Mdogo. Ni vipi Siafu Mdogo anatoa shukurani zake kwa Njiwa?
Wanakijiji wanaungana kubadilisha maisha yao.
Namorutunga ni mahali pa kale Kenya penye nguzo 19 za mawe. Hadithi hii inaeleza jinsi mawe hayo yalikuja kuwepo mahali hapo.
Sungura ni wanyama wanaosumuliwa sana kwenye hadithi za Kiafrika.
Wasichana watatu wadogo wanakutana na jitu ambalo lajifanya kutaka msaada wao. Wakati jitu linamwongoza msichana mmoja mbali mtu mmoja anawasimamisha na kuuliza jina la msichana yule. Nini kitakachotokea kwa msichana huyo?
Hamisi alipokuwa akinunua sare ya shule na babake, alimwona mvulana aliyevaa shati la kijanikiwiti la kuvutia. Je, Hamisi atafaulu kumshawishi babake kumnunulia shati kama hilo?
Wasichana wawili wadogo wanakwenda safari ya kutafuta chakula. Wote wanamkuta mwanamke mkongwe njiani, lakini ni mmoja tu anayekubali kumsaidia.
Palikuwa na wakati ambapo kulikuwa na jua saba angani. Kwa sababu ya joto jingi, watu wanaamua kuziondoa jua zote. Wanaenda mbali zaidi na hatimaye, ni jogoo ndiye anayeiokoa siku.
By navigating this website, you agree to the storing of cookies on your device to enhance site navigation and analyze site usage.